Msamaria Charity Tour

WRITTEN BY

Admin

November 30, 2025

Msamaria Charity Tour

Smiles, laughter, and pure joy — that’s what defined our Msamaria Charity Tour. On November 15th, the Love in Action family came together to touch lives, restore hope, and remind children at Kituo cha Watoto wa Msamaria that they are valued, loved, and never forgotten.

The tour was more than a visit — it was a movement of compassion.

Our team spent the day sharing essential supplies, bonding with the children, and creating moments they will hold onto for a long time. Through your support, we were able to deliver:

  • Chakula na mahitaji muhimu
  • - Vifaa vya shule na usafi
  • - Michezo, zawadi, na burudani kwa watoto
  • - Muda wa kuzungumza, kusikiliza na kuwafariji kwa upendo

Together, We Made It Possible

Your generosity is the reason this tour was successful. Every mchango, kila neno la faraja, na kila sala mlizotoa—vilifanya siku hiyo kuwa ya baraka tele.

Tunashukuru kila mmoja aliyejitokeza, aliyechangia, na aliyeisambaza taarifa. Umetuonyesha kwamba "Together We Can" sio maneno tu, ni uhalisia.

  • Kwa wanaotaka kuendelea kusaidia katika miradi yetu ijayo, unaweza kuendelea kutoa mchango kupitia M-PESA:
  • - LIPA NUMBER: 36597672
  • - NAME: HUSSNA ABDULLY

Tuko Pamoja kwa Safari Zinazokuja

Huu ulikuwa msimu wa tatu — na bado safari inaendelea. Tunakaribisha kila mtu kuendelea kushiriki nasi katika matukio yajayo kwa ajili ya kueneza upendo na kurejesha tabasamu zaidi.

Asanteni sana kwa kuweka upendo wenu katika matendo. Love in Action – Season 3 *Together We Can.*